The Typologically Different Question Answering Dataset
Predictions
Scores
Moses Wetangula
The Typologically Different Question Answering Dataset
Moses Masika Wetangula (amezaliwa 13 Septemba 1956) ni mwanasiasa wa Kenya na Mbunge anayewakilisha jimbo Sirisia. Yeye amekuwa Waziri wa Mambo ya Nje tangu Januari 2008.